Ads 468x60px

Kuhusu sisi

Muungano wa wafugaji na wakulima pamoja na wajasiriamali. Ni mpango wa kutengeneza mabilioni ya shilingi za kitanzania ambao unatengenezwa ili kuzalisha mabilionea wa kitanzania waliyo tayari sasa na hata baadaye. Ni muungano wa wataalamu wa fani mbalimbali za ufugaji na kilimo, mahesabu, watawala wa fedha na uongozi, TEHAMA, maendeleo ya jamii,masoko pamoja na afya.

0 comments: