Ads 468x60px

Shughuli zetu

Kuwa mfano ndani na nje ya nchi kwa kujifunza na kufundisha kwa vitendo, shughuli za Ufugaji wa wanyama,ufugaji wa samaki,ufugaji wa kuku, bata wa aina zote, kware, nyuki, nk. 

Pia katika kilimo cha matunda, mbogamboga, hydroponic fodder, uyoga, nyumba ya kijani (Greenhouse) Kuwa na ardhi ya pamoja na kufanya biashara kwa umoja kati ya Wafugaji na Wakulima katika mradi wetu. Kukutana na Wafugaji na 

Wakulima waliofanikiwa ndani na nje ya nchi, pamoja na kuwa na ubia na kampuni ya usafirishaji wa barabara, anga, na majini ili kuweza kusafiri kwa gharama nafuu kwetu sisi na wageni wetu. Pia tutafanya tafiti.

0 comments: