
Huu ndio ukumbi ambapo Mkutano wa wadau wa wakulima na wafugaji ulifanyika


Baadhi ya wajumbe wakiwa wanangoja kikao


Baadhi ya Wajumbe wakiwa wenye Furaha , huku wakingojea kikao

Mkutano Ukiendelea
Picha ya Pamoja baada ya Mkutano
Taarifa nzima ya Mkutano huu itawajia hapa
1 comments:
Ilikuwa ni fursa iliyoje kwa wana kikundi cha Kilimo na Ufugaji kukutana Ubungo Plaza, katika Ukumbi wa DIAMOND. Malengo na mikakati vilipangwa na vinahitajika kutekelezwa.
Post a Comment